Dira

Kuwa Shirika la utangazaji wa umma linaloongoza kwa weledi, kuthamini utamaduni, ubunifu na lenye kukidhi mahitaji ya hadhira na wateja wake.

Dhima

Kuwezesha wananchi kupitia miradi na vipindi vilivyoandaliwa kiweledi vyenye kuhabarisha, kuelimisha,kuburudisha, kutafakarisha, kushirikisha na kuongeza thamani katika maisha yao.

Tunu Kuu

Katika kufanikisha dira yake na kutimiza dhamira yake, TBC itazingatia tunu kuu zifuatazo ili kufanikisha Dira yake na kutimiza Dhamira yake:

Ubunifu;
Uadilifu;
Utaalamu;
Kazi ya Pamoja; na
Heshima kwa Tofauti.